Blog

nini

...

mat

Sunday, 3 August 2014

TAIFA STAR YAKUBALI KIPIGO CHA 2-1 DHIDI YA MSUMBIJI

Timu ya Taifa Star leo imeondoshwa kwenye kinyang'anyiro cha kushiriki kombe la mataifa ya Afrika huko Morroco baada ya kukubali kufungwa magoli 2 kwa 1 na Msumbiji. Timu ya tanzania imetolewa kwa jumla ya magoli manne baada ya kulanzimishwa sare ya 2-2 katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam mwishoni mwa mwezi wa saba

>>> Like page yetu kusoma zaidi