Blog

nini

...

mat

Sunday, 3 August 2014

Muigizaji Pastor Myamba apewa zawadi ya Tsh milioni 250

myamba
Hii imetoka kwenye instagram ya actor JB na inamuhusu muigizaji mwenzake wa bongomovie ambaye amefunga ndoa hivi karibuni.
Kwenye hiyo post taarifa ni kwamba pesa hizo hii ni moja ya zawadi alizopewa Pastor Myamba pamoja na mke wake baada ya kufunga ndoa yao.

Hii picha ni baada ya kukabidhiwa hizo pesa.Capture
Like page yetu kupata stori kamili